Saturday, June 16, 2012

FEST AFRICA



Kipindi cha joto cha mwaka 2012 kimewadia. Kama kawaida kipindi hiki kinaambatana na matukio mengi ya kufurahisha. Mojawapo ya matukio hayo ni FEST AFRIKA ambayo inatayarishwa na vijana wa Kitanzania waishio Tampere. Mnakaribishwa wote.