Saturday, February 1, 2014

It is Winter Again


Sunday, December 1, 2013

Monday, July 23, 2012

Wakawaka ina mwanga mkali

Taa ya solar ya Wakawaka ina mwanga mkali kuliko taa zingine.


Saturday, June 16, 2012

FEST AFRICAKipindi cha joto cha mwaka 2012 kimewadia. Kama kawaida kipindi hiki kinaambatana na matukio mengi ya kufurahisha. Mojawapo ya matukio hayo ni FEST AFRIKA ambayo inatayarishwa na vijana wa Kitanzania waishio Tampere. Mnakaribishwa wote.

Tuesday, May 8, 2012

Huu ndio uwajibikaji

Je! Umepata huduma nzuri leo? Hayo ndiyo maneno hapo juu. Hii inaonyesha wazi kuwa kitengo hiki kinahitaji kuwajibika kwa wateja wake. Ni wapi umeona kama hivi?