This is a Blog about Tanzanians living in Tampere, Finland.
KARIBUNI KATIKA BLOG YA WATANZANIA WA TAMPERE
Hii ni blog ya Watanzania waliopo Tampere, Finland, ambamo wanaweza kuwasiliana na kupeana taarifa mbalimbali kuhusu maisha yao hapa na ya kule nyumbami. Watanzania popote pale ulimwenguni mnakaribishwa kutembelea blo hii na kutoa maoni yenu kuhusu mada mbalimbali zitakazokuwemo.
0 comments:
Post a Comment