Wednesday, December 26, 2007

KRISMASI YA 2007

Mwaka huu sikukuu ya Krismasi ilisherehekewa kwa ujumla nyumbani kwa Dr. Augustino Binamu ambapo wadau wengi walihudhuria. Picha zitajieleza zenyewe!


Dr. Augustino Binamu (kulia)

1 comment:

EDWIN NDAKI said...

Inapendeza sana wanazalendo wakijuika kwa pamoja.

Inaoneka mambo yalikuwa njema sana.