Sunday, June 1, 2008

SUMMER IMEINGIA

Summer (kipindi cha joto) imeanza na kama ilivyo kawaida ya huku, ni wakati wa kufurahia maisha ya nje baada ya kipindi kirefu cha baridi, ambacho inabidi kwa wakati mwingi, watu wakae ndani. Hivyo basi wakati wa joto shughuli nyingi hufanywa nje na kuendelea kwa muda mrefu kwa kuwa jua halizami katika kipindi hiki.

Hapo chini ni katika Grill Party aliyoifanya Menard Mponda na kuwaalika rafiki zake, wa Tanzania na kutoka nchi zingine mbalimbali.


8 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Saafi saana imetulia hiyo

EDWIN NDAKI said...

hakika ilikuwa siku nzuri sana.

Mambo ya jua...ufini

Anonymous said...

picha za summer wapi? wekeni ningine

kibunango said...

Baaab Kubwa...Naona mambo yalikuwa mzuka

Anonymous said...

sawa sammer ilikuwa nzuri lakini hii blog haindani na wakati kwani sasa hivi imeshapita sammer hakuna matukio mengine au inakuaje

kibunango said...

Wakuu habari..
Kuna ugeni toka Mwanza katika jiji letu la Tampere.. Ingependeza iwapo wageni hao wangeongea na blog hii...

ROGERSBIZ said...

elekea mna furaha sana huko. Happy for you guys.

kabutta said...

safiiiiiiiiiii... i really like it.