Monday, September 24, 2007

KARIBUNI

Karibuni katika blog hii kutoa maoni, matangazo kuweka picha na kadhalika.

3 comments:

Anonymous said...

Haya ni Mimi Mdudu

Bado nilikuwa navinjari hapo kwenye hii blog. Nimewaona kina Mboya na wengine what an experience was!!

You missed the kung fu pictures with the FFU::)))

Anonymous said...

Naitwa Alex Rwambali nipo GERMANY; tafadhali naomba contact za MEDAD MPONDA huyo jamaa tulikuwa nae pale Bagamoyo miaka ya 1993-1995 alinitangulia mwaka mmoja.Email yangu hiyo hapo.Nashukuru in advance
amagere@hotmail.com

Mawazo said...

Naitwa Sunday Ngakama toka Mwanza, ninapenda kuwajulisha Watanzania wote waishio Finland kwamba kutakuwa na usiku wa Mwafrika tarehe 28 Novemba, katika ukumbi wa jiji la Joensuu,teatteri klubi.

kwa maelezo zaidi, mawasiliano kwa: sundayngakama@yahoo.co.uk, au 0505373949. Asanteni!