Saturday, September 29, 2007

MNADA WA POLISI

Leo kuanzia saa sita mchana palikuwepo na mnada wa Polisi ambapo vitu vingi vilinadiwa. Vitu hivyo vilikuwa baiskeli, navigators, playstation, simu na kadhalika. Mnada kama huu hufanyika kila mwaka wakati kama huu na unaweza kujipatia kifaa kizuri kwa bei ya mnadani. Niliona wanafunzi Wachina na Wahindi ambao walinunua baiskeli.

2 comments:

Egidio Ndabagoye said...

Inapendeza sana.Kazi nzuri wadau.

Edwin Ndaki said...

Binafis nimefarijika sana,kuona blog ya Tampere ipo hewani.

Changamoto ni kwa wadau wote tuunganishe nguvu zetu kuiendeleza.

Naamini blog hii itakuwa na umuhimu mkubwa sana katika dhana nzima ya kupsha habari na kujua mabo yanvyoendela hapa Finland na nje.

Tupo pamoja na mimi nimeshabeba vifa vya kazi tayari kutembea kwenye MANENO YANGU."I have dream,siku moja hii blog itakuwa gumzo na kivutio kikubwa"

Ene wei tutafika tu.