This is a Blog about Tanzanians living in Tampere, Finland.
KARIBUNI KATIKA BLOG YA WATANZANIA WA TAMPERE
Hii ni blog ya Watanzania waliopo Tampere, Finland, ambamo wanaweza kuwasiliana na kupeana taarifa mbalimbali kuhusu maisha yao hapa na ya kule nyumbami. Watanzania popote pale ulimwenguni mnakaribishwa kutembelea blo hii na kutoa maoni yenu kuhusu mada mbalimbali zitakazokuwemo.
1 comments:
Duu..hicho kichwa cha habari kimenivutia sana.
Ingawa maelezo hayajatoshereza.Maana nahitaji japo kuwa mbadilisha tairi za Jet.aaa aaa..lol
Hebu tupe dondoo zaidi tujichanganye huko..
Post a Comment