Sunday, November 11, 2007

GRADUATION PARTY YA ROBERT MHEKWA

Tarehe 10 Novemba 2007, siku ya Jumamosi tulijumuika pamoja kusherehekea graduation ya ndugu yetu Robert Mhekwa pale alipochukua nondoz zake. Picha zenyewe zinajieleza.


Robert Mhekwa (kushoto)3 comments:

Mbilinyi Elly said...

Hongera Mr mhekwa for ur graduation. classmate ifunda.

Anonymous said...

Sidney, nakuona picha ya chini. Du, utamaliza huo msosi?

Lunette said...

Good words.